Kuhusu Sisi
MatokeoSoft ni mfumo wa ki-tovuti unaomsaidia mwalimu wa shule ya Msingi au Sekondari katika kuchakata Mkeka wa Matokeo na Ripoti za mtihani kwa darasa husika.
Katika mfumo wetu utaweza kupata huduma zifuatazo:
- Mkeka wa Matokeo ya Jumla katika darasa.
- Mkeka wa Matokeo kwa kila mwanafunzi.
- Mkeka wa Matokeo kwa kila somo.
- Mkeka wa Matokeo kwa kila Mchepuo
Pia utaweza kupata huduma zifuatazo:
-
Mkeka wa Ripoti kwa kila mwanafunzi.
Ambapo ripoti unaweza kuonesha
- Maendeleo ya mwanfunzi kitaaluma.
- Mwenendo wa mwanafunzi kitabia.
- Kutuma ripoti ya mwanafunzi kwa mzazi kupitia barua pepe.
- Kutuma ripoti ya mwanafunzi kwa mzazi kupitia sms.
Huduma zetu
MatokeoSoft kupitia ofisi zake zilizopo Mzumbe Mkoani Morogoro, tunatoa huduma zifuatazo:
Kwanini uteseke!
Timu yetu
Hii ni timu ya wataalamu watakuweza kukusaidia
Joshua Mbilinyi
ITSimu: 0716 776 673
Barua pepe: joshua961993@gmail.com
Crayson Ngelangela
ITSimu: 0620 614 775
Barua pepe:
Mawasiliano
Kwa maoni, ushauri na namna ya kupata huduma zetu, tafadhali usisite kuwasiliana nasi.
Mahali tulipo:
Mzumbe, Mkoani Morogoro
Email:
info@matokeosoft.co.tz
Call:
+255 716 776 673